Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.
Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders:
Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka
(Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United),
Luke Shaw (Southampton), Leighton Baines (Everton), Steven Gerrard
(Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jordan Henderson (Liverpool), Ross
Barkley (Everton), Jack Wilshere (Arsenal), Alex Oxlade-Chamberlain
(Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Adam Lallana (Southampton),
James Milner (Manchester City)
Forwards:
Daniel Sturridge (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Danny
Welbeck (Manchester United), Rickie Lambert (Southampton)
Related Posts:
FAIDA YA MAN UTD 'KUTETEREKA'Manchester United imetangaza kuporomoka kwa
faida ya kila mwaka wa fedha katika mwaka
ambao David Moyes alikuwa meneja. Klabu hiyo
ya Ligi Kuu ya England imesema kipato halisi
kimeporomoka kwa asilimia 84 na kufikia
takriban … Read More
Class of 92 waibuka na Coca Cola.Class of 92' wamekutana pamoja safari hii kukubali kufanya kazi na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola, na chupa za bidhaa hizo ziliandikwa majina ya magwiji hao.
Nyota wazamani wa Manchester United Phil Neville alipost p… Read More
Maicon aondolewa timu ya taifa ya Brazil kwa kashfa ya "Ushoga"
Brazil ilicheza mechi ya kirafiki na Colombia kule Miami Florida, hapo jumamosi, ikaibuka na ushindi wa 1-0, kwa goli lililofungwa na mshambuliaji wa Neymar.
Hivi sasa Brazil inajiandaa kukipiga na Ecuador hapo Jumatano, Se… Read More
iPhone 6 Plus yatengenezwa kwa ajili ya Mashabiki wa Manchester United.Mashabiki ulimwenguni wamesema simu
mpya aina ya iPhone 6 Plus imetolewa
maalum kwa ajili ya mashabiki wa
Manchester United ambayo kwenye simu
ya kawaida haionekani kwa urahisi kwenye
msimamo wa ligi kuu ya England lakini
kup… Read More
Yanga kupinga maamuzi ya TFF juu ya Okwi.Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga
maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya
Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya
kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi
kuwa huru.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria ya Yanga, Sam
Mapande… Read More
0 comments:
Post a Comment