Friday, 2 May 2014
Kumbe Diamond alitoa chozi alipokuwa anarekodi ngoma ya "Kipi Sijasikia" ya Prof J......
Profesa J amesema Diamond Platnumz, alilia machozi wakati anafanya chorus ya wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’
Rapper huyo alikiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM kuwa wakati Diamond anarekodi chorus hiyo yeye na Majani walishangaa kumuona hitmaker huyo wa ‘My Number One’ akibubijikwa na machozi ndani ya ‘booth’.
“Lakini kilichotushangaza alipoingia booth ili arekodi chorus Diamond alikuwa anaimba huku analia. Sisi tuko kwenye monitors huku tunamuangalia jamaa upande wa pili kwenye booth tunamuona Diamond analia.
"Alikuwa emotional unajua ile…ilimgusa sana. Sisi tulikuwa tunashangaa mimi na Majani ‘huyu jamaa analia nini?’ Lakini baadae tulimuuliza alituambia ‘nimefurahi sana katika maisha yangu kufanya kazi na Profesa Jay pamoja na Majani, hilo moja.
"Lakini pili, mlivyoimba humu ndani vyote vinanihusu mimi…vimenitokea sana katika maisha yangu na changamoto zote hizo’..so yale ndio yalitokea studio. Kiukweli hii ngoma ilikuwa blessed tangu studio na kila mtu alikuwa anasema ‘yeah men it’s on’, alisema Profesa J.
Related Posts:
Essien akana kuugua Ugonjwa wa Ebola Baada ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya - hajaathirika na ugonjwa huo.… Read More
Akon ajikinga na Ebola … Read More
Steve Jobs is Apple Inc,Apple inc is Steve Jobs "iGenius" Binadamu tunaamini maisha ya mwanadamu hubadilika kutokana na mazingira,lakini mazingira hayo yanamtegemea mwanadamu kwa namna moja au nyingi,inamaana hivi ni vitu viwili vinavyotegemeana,Mwanadamu anayategemea mazingira na… Read More
Linex akana shutuma za uvutaji wa Bangi. Kupitia ukuarasa wake wa facaebook,Sunday Mjeda aliandika hiki Kwa mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari ma swali lenyewe nikuhusi Mimi kujihusisha na matumi… Read More
Uthibitisho kuhusu nyimbo mpya ya Ali Kiba 'aliyomchana' Diamond Baada ya kutokuwepo kwa maelewano huku vyombo mbalimbali vya habari nchini vikiripoti bifu/ugomvi unaoendelea kati ya nyota wawili wanaotamba katika mziki wa bongo fleva nchini;Diamond na Ali Kiba.Leo hii BantuTz imek… Read More
0 comments:
Post a Comment