Kwa wale waliotazama mchezo huo, Mahachi alikuwa amevaa jezi namba 11 na
riboni mkononi ambapo alikuwa akiisumbua sana safu ya ulinzi mara
kadhaa.
Samatta alisema Stars ilijitahidi
kutokana na hadhi ya Zimbabwe kuwa kubwa kwani wameshiriki michuano ya
Afcon mwaka jana, hata hivyo uelewano baina yao uliwasaidia sana kupata
ushindi huo, japo ni kiduchu.
“Kuna jamaa sikumkariri vizuri na jezi yake, lakini alikuwa akitumia
sana mguu wa kushoto, mwenye rangi nyeupe kichwani, kweli alitusumbua
mara kadhaa, ingawa tunashukuru tumepata ushindi.
“Ilikuwa mechi ngumu, lakini nafikiri kwa kuwa tunaongea lugha moja
(Kiswahili), ilichangia kuelewana zaidi na kucheza kwa umakini kutokana
na wapinzani wetu kuonekana kubadilika baadaye na kutushambulia,”
alisema nyota huyo.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za michezo
John Bocco aanza mazoezi Captain John Bocco ameanza mazoezi kidogo
kidogo katika Gym ya kisasa ya Azam FC hapa
Chamazi - Azam Complex, Captain anaendelea
vizuri na jeraha lake alilolipata Kigali Rwanda
akiitumikia timu yake ya Azam FC. Hii ni leo
asb…Read More
Danny Welbeck aing'arisha Uingereza.Danny Welbeck straika mpya wa Arsenal
alifunga mara mbili kuisaidia England
kuifunga Switzerland kwa bao 2-0 katika
mchezo wa kufuzu michuano ya Euro 2016.
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester
United aliziona vyavu dakika ya…Read More
Yanga kupinga maamuzi ya TFF juu ya Okwi.Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga
maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya
Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya
kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi
kuwa huru.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria ya Yanga, Sam
Mapande…Read More
Maicon aondolewa timu ya taifa ya Brazil kwa kashfa ya "Ushoga"
Brazil ilicheza mechi ya kirafiki na Colombia kule Miami Florida, hapo jumamosi, ikaibuka na ushindi wa 1-0, kwa goli lililofungwa na mshambuliaji wa Neymar.
Hivi sasa Brazil inajiandaa kukipiga na Ecuador hapo Jumatano, Se…Read More
MZOZO WA NIGERIA NA FIFA WAISHAMabingwa wa Afrika, Nigeria huenda
wameepuka kufungiwa kimataifa kuhusiana
na mzozo wa uongozi katika chama cha soka
cha nchi hiyo. Mzozo huo sasa
umesuluhishwa, baada ya Chris Giwa
kuondoa madai kuwa yeye ndio rais wa
shirik…Read More
0 comments:
Post a Comment