Monday, 12 May 2014
Tahadhari Juu ya Ugonjwa wa Dengue
Iwapo itatokea una kila dalili za homa ya dengue, dawa ya kukimbilia kwanza ni Panadol; inashauriwa usimeze KABISA Diclopar wala Diclofenac. Iwapo utameza dawa hizi, utakuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha. Imetolewa na Wizara ya Afya!.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kujua kila kitakachokuwa kinajiri kuhusiana na Ugonjwa wa Dengue
0 comments:
Post a Comment