
Eto’o hajafanya mazoezi kwa siku mbili na huenda asipone kwa wakati kwa ajili ya mechi muhimu ya Kundi A mjini Manaus.
Mshambuliaji huyo, 33, aliandika kwenye Twitter;
“Madaktari wamethibitisha kuwa sitoweza kucheza kwa sababu ya majeraha ya goti yanayonisababishia maumivu”
Cameroon na Croatia wote walipoteza mechi zao za ufunguzi na wanakabiliwa kutoka kwenye mashindano.
Simba hao wasiofugika walifungwa goli 1-0 na Mexico, huku Croatia wakiambulia kichapo cha magoli 3-1 kutoka kwa wenyeji wa mashindano Brazil.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment