Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema mashambulio katika mji wa Mpeketoni, katika pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la al-Shabab. Katika hotuba yake kupitia televisheni kwa taifa, Rais Kenyatta amesema ushahidi unaonesha mashambulio hayo yalikuwa yamepangwa na mtandao wa kisiasa ulihusishwa.
Amesema taarifa za kuichunguzi
zilitolewa kwa mamlaka husika lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.
Amesema maafisa waliotakiwa kuchukua hatua wamesimamishwa kazi na
watashtakiwa mahakamani. Amesema wanachunguza wanasiasa wanaoshukiwa
kuhusika na mashambulio hayo.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment