Majeshi ya DRC yakabili wanajeshi wa Rwanda mashariki mwa Congo
Maafisa wakuu katika Jamuhuri ya
kidemokrasi ya Congo wanasema kuwa makabiliano makali yalizuka mapema
leo kati ya wanajeshi wa DRC na wanajeshi wa Rwanda.
Waziri wa mawasiliano, Lambert Mende, anasema
kuwa makabiliano hayo yaliendelea kwa muda na kuendelea kwa saa kadhaa
katika eneo la mpakani kati ya nchi hizo mbili.Hadi sasa hapajakuwa na tamko lolote kutoka kwa upande wa Rwanda.
Serikali ya Rwanda imetuhumiwa na Umoja wa Mataifa kwa kuhusika na mzozo unaotokota katika mashariki ya Jamhuri ya Congo.
Rwanda imekanusha adai hayo.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment