Saturday, 21 June 2014
Wema amchana aliyemzushia kuwa na ujauzito wa Diamond
Miss Tanzania 2006 pia Actress mwanadada mwenye nyota ya ajabu ambaye anakimbiza hapa Tzee Wema Sepetu a.k.a Mrs .Nasibu Abdul alias Daimond Platinum amemtaja mtu ambaye alimzushia kwamba anaujauzito kwenye mtandao mmoja wa kijamii uiitwao Instagram kuwa ni shabani amri ambaye anapatikana kwa jina ili(@shabani amri5) “Halafu usione nakaa kimya mkaona labda siumii kizazi ulinipa wewe?….. mpaka uniamrishe nizae…Sina kizazi sasa …kama unaweza nipe nizae..Dah! nawavumilia tu …mi pia binadamu nina moyo…unahisi kwa akili yako sitaki mtoto ama nini? …Zaa zaa zaa …kama wewe umebarikiwa kuzaa hongera..Im tired of this kuzaa bullshit….!!!Leave me and my Life alone “ aliandika wema kwenye ukurasa wake wa Instagram
0 comments:
Post a Comment