Facebook

Wednesday, 20 August 2014

Azam FC kupambana na Almerreikh katika Robo fainali ya kombe la Kagame.

WLeo tarehe 20.08.2014 timu ya Azam FC
itaingia kiwanjani kupambeeana na Almerreikh
ya Sudan katika mchezo wa robo fainali ya
CECAFA KAGAME CUP. Mchezo utaanza saa
8:30 mchana kwa saa za Rwanda na itakua
sa9:30 Dar.

Kikosi kitakacho anza leo hiki hapa

1 . MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. JOHN BOCCO
10 KIPRE TCHETCHE
11. LEONEL SAINT PREUX

AKIBA
AISHI MANULA
MUDATHIR YAHYA
SAID MORAD
DIDIER KAVUMBAGU
GAUDENCE MWAIKIMBA
GADIEL MICHAEL
KHAMISI MCHA

Mungu ibariki Azam FC, Mungu ibariki
Tanzania!

Related Posts:

  • Kocha wa timu ya taifa Ureno;Bento atimuliwa,Scolar akamata mikoba.Paulo Bento amefukuzwa kazi kwenye timu ya taifa ya Ureno baada ya mwanzo wa mbaya kwenye michuano ya kugombea nafasi ya kushiriki michuano ya Euro 2016. Luis Scoral anapewa nafasi ya kumrithi. … Read More
  • KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YANGA1. MWADINI ALI 2. SHOMARI KAPOMBE 3. ERASTO NYONI 4. DAVID MWANTIKA 5. AGGREY MORIS 6. BOLOU MICHAEL 7. HIMIDI MAO 8. SALUM ABUBAKAR 9. DIDIER KAVUMBAGU 10. KIPRE TCHETCHE 11. LEONEL SAINT PREUX AKIBA AISHI MANULA MUDATHIR YA… Read More
  • Yanga vs Azam Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa wakali wa Jangwani Yanga SC kucheza na timu ya Azam FC, Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Masharik… Read More
  • Diego Costa mchezaji bora Ligi kuu Uingereza.Diego Costa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Premier League kwa mwezi August kwa kuwapiku Cesc Fabregas (Chelsea), Nathan Dyer (Swansea),Gylfi Sigurdsson (Swansea) na Andreas Weimann (Aston Villa). Mourinho ambaye ndiye anayek… Read More
  • Ligi Kuu Uingereza:Arsenal kukumbana na Manchester City hapo kesho.Uwanja-Emiraters Mashabiki-60,300 Timu-Arsenal vs man city Arsenal ni timu iliyoanzishwa mwaka 1889 kaskazini mwa jiji LA London Mpaka sasa Arsenal wamekutana Na man city mara184 ~Arsenal wameshinda Mara 93 ~Manchester city a… Read More

0 comments:

Post a Comment