Ukurasa wa mwisho wa hotuba ya Waziri mkuu (Mh.Pinda) wakati akiomba bunge lipitishe bajeti yake na ya TAMISEMI alisema hivi:
"Halmashauri zote zinaombewa jumla ya Shilingi Trilioni Nne, Bilioni Mia Mbili Thelathini na Moja, Milioni Mia Nne Arobaini na Mbili, Mia Tisa Sabini na Nne Elfu (4,231,442,974,000).....
..... Kati ya fedha hizo, Shilingi Trilioni Tatu na Bilioni Tisini, Milioni Mia Tatu Sabini, Mia Tatu na Nane Elfu (3,090,370,308,000) ni za Matumizi ya Kawaida na Shilingi Bilioni Mia Sita Themanini na Mbili, Milioni Mia Sita na Mbili na Arobaini na Nne Elfu (682,602,044,000) ni za Miradi ya Maendeleo."
UNAELEWA HII INAMAANISHA NN?
Hii inamaanisha kuwa Sh.3,090,370,308,000/= sawa na 73.03% ni za matumizi ya kawaida kama kunywa chai, safari, warsha, semina, posho za vikao etc. Na Sh.682,602,044,000/= sawa na 26.96% tu, ndio za miradi ya maendeleo.
Hii inamaanisha kuwa Sh.3,090,370,308,000/= sawa na 73.03% ni za matumizi ya kawaida kama kunywa chai, safari, warsha, semina, posho za vikao etc. Na Sh.682,602,044,000/= sawa na 26.96% tu, ndio za miradi ya maendeleo.
Yani watu watatumia 74% ya bajeti ili wazalishe 26%. Nahisi bado hujanielewa. Yani ni sawa na kumlipa mtu laki moja ili akufanyie kazi ambayo itakuingizia elfu 10..!
Bado nahisi hujaelewa. Ni hiviiii...... Ni sawa na ununue simu ya elfu 25, halafu uiwekee screen protector ya laki tatu.!!
KARIBU TANZANIA.!!!
KARIBU TANZANIA.!!!
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua mauza uza mbalimbali yanayoendelea ambayo si rahisi kuyajua sehemu nyingine isipokuwa hapa tu
0 comments:
Post a Comment