Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Valentino Mlowola, alisema juzi kuwa mwanafunzi huyo aliuawa Mei 13 mwaka huu saa 4.00 usiku, katika eneo la Nyamalango Malimbe, ambapo baada ya kubainika katika eneo hilo alianza kupigwa kwa mawe, fimbo na mapanga hadi kusababisha kifo chake: “Huyu
ameuawa katika tuhuma ambazo mpaka sasa hazijathibitishwa,” alisema.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua kitakachoendelea kuhusiana na sakata hilo
0 comments:
Post a Comment