Facebook

Thursday, 22 May 2014

Manchester United kukamilisha usajili wa Toni Kroos


3880564Klabu ya Manchester United jana usiku ilikuwa katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo Toni Kroos kutoka klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uingereza United tayari wamekubaliana ada ya uhamisho ya £20m kwa ajili ya kiungo huyo wa Ujerumani ambaye sasa anaingia kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake na Bayern.
Kocha wa zamani wa United, David Moyes tayari alishamuweka Kroos kwenye mipango yake kabla ya kufukuzwa, na sasa kocha mpya wa klabu hiyo Louis van Gaal ametoa ruhusa ya kusajiliwa kwenye mchezaji huyo ambaye aliwahi kumfundisha wakati akiwa Bayern.
Baada ya miezi miwili ya mazungumzo baina ya United na Bayern, hatimaye siku chache zijazo United wanatarajiwa kumtangaza Toni Kroos kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa kwa ajili ya msimu ujao.

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kupata taarifa zote za usajili kwa wakati muafaka

Related Posts:

  • Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Liverpool watafanya jitihada za mwisho kujaribu kumshawishi Ashley Cole kujiunga nao (Mail on Sunday),   Taarifa nyingine zinasema Cole tayari ameingia mkataba wa miaka mitatu na Roma ya Italy (Sunday People),… Read More
  • Wilferd Zaha atimkia Newcastle. Kocha wa Man united Lous Van Gaal amekubali kumuuza winga kinda Wilfried Zaha kwa kiasi cha milioni £7.  katika dirisha la usajili la majira ya joto baada ya miezi 18 aliyo kaa kinda huyu katika timu ya Ma… Read More
  • Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Arsenal wameanza tena kumfuatilia kiungo wa Bayer Leverkusen Lars Bender, huku Arsene Wenger akiwa anakaribia kukamilisha usajili wa Alexis Sanchez na beki Mathew Debuchy (Daily Telegraph),    Arsenal wamek… Read More
  • Sanchez akaribia kutua Arsenal   Arsenal wamefikia makubaliano ya £34million na Barcelona kwa ajili ya mchezaji wa kimataifa wa Chile - Alexis Sanchez kwa sharti kwamba watapewa mchezaji huyo kama klabu nyingine haitafikia dau walilotoa Arse… Read More
  • Mathieu Debuchy mbioni kujiunga Arsenal.   Mathieu Debuchy atatangazwa rasmi muda wowote kuanzia sasa kama mchezaji wa Arsenal kutokea Newcastle United. Beki huyo amekua na msimu mzuri msimu uliopita kitakwimu akimzidi beki wa nafasi hiyo aliyehamia Man… Read More

0 comments:

Post a Comment