Facebook

Saturday, 17 May 2014

Tundu Lissu: Sheria Gani ilimruhusu Salma Kikwete Kufanya Mkutano wa Siasa Kusini?


Mh. Tundu Lissu mbunge na mwanasheria mashuhuri akichangia hoja katika wizara ya mambo ya ndani ameulizia sheria ambayo imemruhusu Salma Kikwete kufanya mikutano ya kisiasa Mtwara wakati jeshi la polisi lilipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa tangu kipindi cha mgogoro wa gesi. Kaongezea kwa kuuliza kuwa au ni kigezo ni kuwa mke wa rais Kikwete? Kaulizia hivyo kwa sababu imeonekana mikutano ya vyama vya upinzani inapata vikwazo vingi sana na jeshi la polisi wakati mikutano ya CCM inaruhusiwa kirahisi.
Update:
Hadi waziri anahitimisha kujibu hoja za wabunge hili swali la Lissu hajalijibu

0 comments:

Post a Comment