Facebook

Saturday, 17 May 2014

BREAKING NEWS:ADAM KUMBIANA AFARIKI DUNIA


 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwigizaji Adam Kuambiana (pichani) amefariki Dunia. Bado tunafuatilia taarifa hizi kwa undani na tutawaletea habari kamili punde zikiwa tayari.

 Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kujua kila kitakachokuwa kinaendelea kuhusiana na taarifa hizi

 

0 comments:

Post a Comment