Facebook

Wednesday, 11 June 2014

Chid Benz avuta bangi Stejini,mabaunsa wamshushia kipondo kizito.!



Chidi benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.
wakati akiwa anafanya Show Katikati ya baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga... Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii


Hapo Chidi Benz akiwa kashikiwa bangi na Shabiki wake na kutoa kibiriti cha gesina kuiwasha kama unavyoona hapo

hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba kiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake 


Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment