Msanii kijana Nuh Mziwanda, ameamua kujichora tattoo yeney jina la
Shilole "Shishi Baby" kwenye mkono wake kudhihirisha mapenzi yake kwa
msanii huyo
Nuhu licha yakuchora tattoo hiyo aliambatanisha maneno haya katika picha aliyoipost kupitia mtandao wa Instagram
Shilole nae alimjibu kwa kupost picha hiyo hapo juu na kuandika

Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment