Facebook

Tuesday, 10 June 2014

Dondoo muhimu kuhusiana na kombe la dunia..!

Photo: ZIMESALIA SIKU MBILI KABLA YA KOMBE LA DUNIA
Je wafahamu kuwa.......
Kila Kombe la Dunia lina taswira yake ya kipekee. Tarswira hiyo huoneshwa kupitia nembo maalum. Nembo hiyo rasmi ya Kombe la Dunia huwakilisha michuano yenyewe na nchi inayoandaa michuano hiyo kwa dunia.
Nembo rasmi ya Kombe la Dunia Brazil 2014 inajulikana kama "Kuhamasisha". Nembo hiyo ina picha ya mikono mitatu inayounda mfano wa Kombe la Dunia. Mikono hiyo mitatu ina rangi za manjano na kijani. Rangi hizi zinatoa ishara kuwa Brazil inakaribisha Ulimwengu mzima nchini humo.
Nembo hiyo imechaguliwa na jopo la wataalam, ambao walipitia nembo nyingine zipatazo 25 zilizopendekezwa na taasisi mbalimbali nchini Brazil.

Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....
 
0 comments:

Post a Comment