Facebook

Sunday, 8 June 2014

Dondoo muhimu kuhusu Kombe la dunia nchini Brazil..

 Photo: SIKU TANO KABLA YA KOMBE LA DUNIA
Je wafahamu kuwa...
Brazil ni nchi ya tano duniani kuandaa Kombe la Dunia kwa mara ya pili -- baada ya miaka 64. Brazil iliandaa michuano ya nne ya Kombe la Dunia mwaka 1950. Uwanja wa Maracanã Rio de Janeiro ulijengwa mahsusi kwa ajili ya michuano hiyo, na utatumika pia mwaka huu.
Nchi nyingine ambazo zimeandaa Kombe la Dunia mara mbili ni: Mexico (1970, 1982), Italy (1934, 1990), Ufaransa (1938, 1998), na Ujerumani (1974, 2006).
 
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

0 comments:

Post a Comment