Facebook

Sunday, 1 June 2014

Makasisi waliotekwa nyara waachiliwa.

Kituo cha uhamiaji kati ya mpaka wa Cameroon na Nigeria
Makasisi wawili kutoka nchini Italy pamoja na mwanamke mmoja raia wa Canada waliotekwanyara na kundi la Boko Haram nchini Cameroon wameachiliwa huru.
Idara ya mawasiliano nchini Cameroon imesema watatu hao wako katika afya nzuri na wameabiri ndege inayoelekea katika mji mkuu wa Younde.
Walipelekwa kazkazini mwa taifa hilo karibu na mpaka na Nigeria.
Majina ya makasisi hao ni Giampaolo Martana na Giantonio Allegri.

Related Posts:

  • ISRAEL KUENDELEA NA MASHAMBULIZI GAZA   Israel imeonya maelfu ya Wapalestina mashariki na kaskazini mwa Gaza na kuwataka kuondoka majumbani mwao huku ikiendelea na mashambulizi ya anga. Onyo hilo linakuja baada ya mpango wa kusitisha mapigano wa Mi… Read More
  • Kilomita 10 za Reli zaibiwa Afrika Kusini.   Wezi wa vyuma chakavu wameiba karibu kilomita 10 za mataruma ya reli katika njia ya reli inayofanya kazi, na kusababisha hasara ya takriban dola milioni 2.3. Mataruma hayo yaliibwa katika reli inayopitisha tre… Read More
  • TUFANI LAZUA TAFRANI UFILIPINO   Upepo mkali umesababisha umeme kukatika na kulazimisha maelfu ya watu kukimbia makazi yao kufuatia Tufani Rammasun kugonga visiwa vya Ufilipino. Tufani hilo ambalo pia linajulikana kama Glenda, liligonga kisiw… Read More
  • Fahamu Historia na sababu za mzozo wa Gaza kwa Ufupi.   Ukanda wa Gaza, ni kipande cha ardhi kilichopo katikati ya Israel na Misri, na eneo hilo limekuwa kitovu cha mzozo kati ya Israel na Palestina kwa miaka na mikaka. Israel iliikalia na kuidhibiti Gaza wakati wa… Read More
  • Anglikana laridhia wanawake maaskofu Kanisa kuu la Anglikana Uingereza Baraza kuu la kanisa la Kianglikana Uingereza, The General Synod, limeidhinisha wanawake kuwa maaskofu. Maafisa katika … Read More

0 comments:

Post a Comment