Tuzo za muziki za MTV 2014 zinarudi tena na ucheshi toka kwa Marlon Wayans, mchekeshaji mwenye miaka 41 ambae amekuwa kwenye game kwa muda mrefu sana yeye na familia yake ‘Wayans Brothers’, atakuwa MC katika tuzo hizo ambazo mwaka huu itafanyika pale Coastal Resort of Durban, Afrika Kusini.
Tuzo hizo zitatolewa kulingana na kitengo cha Best Collaboration, Best Female Artist, Video of the Year, Song of the Year, and Best Male Artist wakati Miguel, French Montana, Trey Songz, na wasanii mahiri kutoka Afrika watatumbuiza watu ambayo yote hayo yatatokea mwezi wa Juni 7 tarehe nchini Afrika Kusini.
Tuko katika
maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma
zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment