Msanii wa Bongo Fleva Jux amezindua rasmi website yake Mei 31, ikiwa ni njia nzuri ya kuwa karibu na mashabiki wake na kutangaza kazi zake kimataifa.
Website ya Jux itakuwa na mambo tofauti kuhusu yeye na kazi zake. Biography, Gallery [Sehemu ya picha za Jux] , Nyimbo, Video, Show zake na jinsi ya kuwasiliana naye.
Tuko katika
maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma
zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment