Facebook

Sunday, 15 June 2014

Mwimbaji maarufu wa injili nchini Nigeria afariki dunia nchini Marekani.

 Photo: Mwimbaji maarufu wa injili nchini Nigeria Kefee Obareki Don-Momoh amefariki dunia nchini Marekani.
Akijulikana zaidi kama "Branama Queen" inasemeka aliugua akiwa ndani ya ndege kuelekea Marekani wiki mbili zilizopita.
Alikuwa mke wa DJ Teddy Don-Momoh, na nyimbo zake zilizotamba sana ni Branama na Kokoroko.
 
Mwimbaji maarufu wa injili nchini Nigeria Kefee Obareki Don-Momoh amefariki dunia nchini Marekani.
Akijulikana zaidi kama "Branama Queen" inasemeka aliugua akiwa ndani ya ndege kuelekea Marekani wiki mbili zilizopita.
Alikuwa mke wa DJ Teddy Don-Momoh, na nyimbo zake zilizotamba sana ni Branama na Kokoroko.
 
 Hivi sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani

0 comments:

Post a Comment