Facebook

Thursday, 19 June 2014

Raila Odingaazungumzia suala la mashambulio ya Mpeketoni.

Photo: RAILA AZUNGUMZIA SAKATA LA LAMU
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema matamshi ya Rais Uhuru Kenyatta kuhusiana na mashambulio ya Mpeketoni kuwa yamechochewa kisiasa, ni jambo la kukurupuka na linaweza kuathiri uchunguzi unaoendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi, Bw Odinga amesema ni makosa kuhusisha siasa na mikutano yake ya hadhara ambayo amekuwa akiifanya, na mashambulio ya Lamu. 
Amesema muungano wa chama chake hauna nia ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani, na kuwa wataendelea na mikutano yao kuishinikiza serikali kuwa na mjadala wa kitaifa.

Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment