Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola Mgharibi mwa Afrika umesababisha vifo vya watu 330 tangu mwezi Februari.
Takwimu hizo mpya zilizotolewa na shirika la
afya duniani WHO zinaashiria kuwa maafisa wa afya wanajaribu kuudhibiti
ugonjwa huo.Mlipuko huo uliofafanuliwa na shirika hilo kuwa mojawapo yalio mabaya zaidi ulianza nchini Guinea.
Umeenea pia hadi Sierra Leone na Liberia.
Takriban visa 50 vipya vimeripotiwa wiki iliyopita. Hakuna chanjo dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola, vinavyosababisha mtu kuvuja damu kwa wingi na kuwa na joto jingi mwilini.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment