Rapper Lil Kim aliyezaliwa miaka 39 iliyopita, siku ya jana June 9 saa 3 na dakika 58
alijifungua
asubuhi katika hospitali ya Hackensack University Medical Center
iliyoko New Jersey, Marekani, kwa mujibu wa Huffingtonpost. Mtoto huyo
amepewa jina la Royal Reign.Baba wa mtoto huyo wa kwanza kwa Kim ni rapper Mr. Papers.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment