Facebook

Friday, 13 June 2014

Robot ya kwanza yenye “Moyo” na uwezo wa kusoma hisia za mwanadamu.


Pepper-Personal-Robot-image-1-672x372
Kampuni ya Soft Bank ya nchini Japan imetengeneza Robot ambayo ina uwezo ya kuwasiliana na kusoma hisia za mwanadamu.
pepper-robot
Robot hiyo iliyopewa jina la Pepper inadaiwa kuwa ina uwezo wa kufikiri kama mwanadamu na kufanya kile mtu atakachomwambia na uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali kama binadamu.
pepperrobot3
Pepper mwenye urefu wa futi nne ni Robot ya kwanza yenye moyo ambapo ina uwezo kutambua sauti, ishara, maneno kupitia programu ya akili bandia iliyofungwa au ‘emotional engine’.
peperrr
Kampuni hiyo imesema kuwa watu wanaweza kuwasiliana na Robot hiyo kama wanavyowasiliana na marafiki na familia na linaweza kufanya shughuli nyingi.



Hivi sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.

Related Posts:

  • Joel Harlow "Ukistajaabu ya Musa Utayaona ya Firauni" Duniani kuna binadamu wengi sana,lakini kila bila binadamu hupewa kipawa chake,wengi wetu tunaamini Mungu humpatia kila binadamu kipawa chake,Kuna baadhi ya binadamu wanaweza kuwa na vipawa lakini wasiweze kuvitambua vipawa… Read More
  • Kifahamu kiti kinachopunguza Upweke.   Kuna wakati kila mmoja maishani pengine huhitaji kupata 'hug' (kukumbatiwa) ili kujisikia sio mpweke. Sasa kampuni moja nchini Japan imetengeneza kiti maalum ambacho kitakuwa tayari wakati wowote kumkumbatia … Read More
  • Zifahamu faida za Tangawizi. Ni kiungo ambacho kinatokana na mizizi ya mmea wa Tangawizi. Mmea huu unafanana sana na Binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Na kwa hapa Tanzania Tangawi… Read More
  • Mircosoft yazindua Windows 10 Kampuni ya Microsoft imezindua programu mpya ya Windows 10 ambayo imeipiku Windows 9. Kampuni hiyo pia inatarajia wateja wake watarudi kwani wengi walikuwa wakisitasita kuboresha oparesheni zao tangu Windows 8… Read More
  • Steve Jobs is Apple Inc,Apple inc is Steve Jobs "iGenius" Binadamu tunaamini maisha ya mwanadamu hubadilika kutokana na mazingira,lakini mazingira hayo yanamtegemea mwanadamu kwa namna moja au nyingi,inamaana hivi ni vitu viwili vinavyotegemeana,Mwanadamu anayategemea mazingira na… Read More

0 comments:

Post a Comment