Facebook

Friday, 20 June 2014

Uingereza 1- 2 Uruguay

Suarez ashangilia bao lake dhidi ya Uingereza
Uruguay wameilaza Uingereza 2-1 katika mechi yao ya pili ya kundi D. Luiz Suarez ndiye amefunga mabao yote mawili ya Uruguay
Uingereza walikuwa wameshindwa mabao 2-1 na Italia katika mechi yao ya ufunguzi. Uruguay kwa upande wao
Uingereza sasa watafurushwa kutoka kwenye kombe la dunia Brazil 2014 iwapo wapinzani wao katika kundi hilo Costa Rica watatoka sare ama kushinda Italia katika mechi yao ya pili itakayochezwa Ijumaa.
Matokeo :Uruguay wameilaza Uingereza 2-1

0 comments:

Post a Comment