Facebook

Monday, 19 May 2014

Arsene Wenger "Sing'atuki Arsenal"

Going nowhere: Arsenal boss Arsene Wenger has confirmed he will be staying on as manager
KOCHA wa Arsenal, mfaransa,  Arsene Wenger sasa anatarajiwa kusaini mkataba mpya baada ya kufuta ukame wa miaka 9 bila kombe kufuatia kutwaa ndoo ya FA jana kwa kuwanyuka 3-2 Hull City katika mechi ya fainali iliyopigwa dimba la Wembley.
Wenger alisema jambo la kusaini mkataba litafanyika kwasababu yeye na bodi ya timu wapo katika mazingira mazuri.
“Kamwe sijiulizi kuondoka zaidi ya kujiuliza nini klabu yangu ifanye”. Alisema Wenger.
Wenger amekaa Asernal bila kombe kwa siku 3, 283 sawa na miaka 9 na kucheza mechi 512, lakini jana alijifuta machungu pamoja na mashabiki wa Asernal
Shower time: Lukas Podolski of pours beer over Wenger after their FA Cup win

0 comments:

Post a Comment