Je Unadhani Hawa Jamaa Ipo Siku Watakuja Kucheza World Cup Na Euro Au Watashia Kuangalia Kwenye Tv Kama Shujaa Wao wa Nchi ile Ryan Giggs Na Majembe Mengine Ya Zamani ya Nchi ile kama Akina Ian Rush, Bellamy, Speed na Mark Hughes Ambao Hawakuweza Kucheza Kwenye Mashindano Hayo ...
Me Binafsi Natamani Niwaone Euro 2016 Wakiwepo Kwenye Mashindano, ila Nina wasiwasi kama wataweza kuja kucheza mashindano makubwa kwa timu ya taifa .. Wewe unaonaje wanaweza Kuna kucheza kweli??
0 comments:
Post a Comment