Inasemekana T.I hakuwa na dhamira ya kugombana na Mayweather, watu wake
wa karibu wamesema, ila alikasirika sana baada ya kumhisi Mayweather
kuwa karibu na mke wake
Tameka "Tinny" Cottle (mke wa T.I) hakuwepo katika eneo la tukio licha
ya kuwepo Las Vegas, na saa moja kabla ya kupost picha Instagram akiwa
na mtoto wa kike wa Mayweather na kumuita "New boo.
Inasemekana T.I alikasirishwa na picha hizo pamoja na zingine
alizozituma na kuona kama ni kuvunjiwa heshima hivyo kuamua kukabiliana
na Mayweather uso kwa uso.
Walipokutana uso kwa uso, T.I alipandwa na hasira zaidi baada ya Floyd
kumwambia "Control your bitch" na kuanzisha ugomvi nje ya Fatburfer
restaurant
Mke wa T.I akiwa na mtoto wa Mayweather
Floyd Mayweather hakuwa
na wazo la kumteka mke wa T.I na aliwaambia wamrafiki zake ameshtushwa
na rapper huyo kutaka ugomvi nae ....kwasababu alidhani ni marafiki.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua undani zaidi kuhusiana na ugomvi huu kati ya Mayweather na T.I
0 comments:
Post a Comment