Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara
kwa kuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi.
Akiongea hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini
alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho
hawajawahi kukipitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.
“Tumeexperiance good time together, bad time together, sad time, happy
times. Sasa hivi tumefika point tumetulia. Tumeshaumizana, yeye
kashaniumiza, mimi nilishamuumiza kwahiyo imefika point tumetulia. What
we are looking for is just to make our future better na ndio maana you
can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwasababu tayari nimeshajua
kwamba he is my man, am his woman,” alisema Wema.
“Kitu ambacho kinaspice up the relationship ni kwamba tuna true love for each other, tunapendana mpaka tumepitiliza,” aliongeza.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment