Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi
huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi
kaanguka na ungo.
Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.
Amedai walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine
waliosema kuwa ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo
ya hospitali ya sekoutoure akiranda randa.
Mpaka naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada
kutokana na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka
apigwe kwa madai ni mchawi.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment