Polisi wametangaza kuwa wamelipata gari la kifahari la mwimbaji Miley
Cyrus lililoibwa na majambazi waliovamia nyumbani kwake Ijumaa (May
30).
Maafisa wa polisi wameleza kuwa wamelipata gari hilo Jumatatu (June 2)
baada ya wakazi wa maeneo hayo kutoa taarifa kuwa gari hilo
lilitelekezwa na majambazi hao katika eneo la Alscot, Simi Valley na
kwamba wanaendelea kulichunguza gari hilo ili kupata
vielelezo/ushahidi.
Awali, polisi walieleza kuwa mwanaume mmoja na mwanamke waliruka ukuta
na kuvamia katika nyumba ya mwimbaji huyo iliyoko San Fernando Valley,
Ijumaa, May 30, majira ya saa kumi jioni.
Majambazi hao waliingia ndani na kuchukua vidani na wakaondoka na gari la mwimbaji huyo aina ya Maserati.
Wakati hayo yote yanaendelea, Miley Cyrus yuko Ulaya akipiga show kadhaa
katika ziara yake aliyoipa jina la ‘Bangerz tour, na Jumapili
alitumbuiza nchini Finland.
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
Tuesday, 3 June 2014
Hatimaye Gari la Miley Cyrus liloibwa na majambazi limepatikana
Related Posts:
Ney Wa Mitego atafutwa na Polisi baada ya kutishia kuua............ KIMENUKA! RB namba KT/RB/1178/2014-KUTISHIA KUUA KWA NJIA YA MTANDAO inamsaka staa wa Ngoma ya Nakula Ujana, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa tuhuma ya kutishia kumuua mdogo wake aliyetajwa … Read More
Kajala 'next level'........... Msanii wa maigizo 'Bongo Movie' Kajala yuko ndani ya ndege ya hali ya juu "High/Bussiness Class" … Read More
Unamjua Mtanzania aliyekamatwa akifanya mapenzi hadharani huko London..... Imefahamika kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe … Read More
Koffi Olomide afanya show ya kufa mtu Uganda............ Imedhihirika kuwa Mwanamuziki mweye asili ya Kongo Antoine Christophe Agbepa Mumba, maarufu kama Koffi Olomide hajachuja hata kidogo licha ya ukimya wake wa miaka mingi baada ya Mashabiki kubaki wakitaka zaidi katika … Read More
Madawa ya kulevya yameshakuwa janga..Inasemekana danca wa Diamond akamatwa China............ STAA wa muziki wa bongo fleva nchini, Abdul Nassib "Diamond" ametakiwa kutokanyaga kabisa nchini China na kwamba &nbs… Read More
0 comments:
Post a Comment