Baadhi ya abiria wakisubiri mabasi katika kituo kipya cha Makumbusho.
Katikati
kulia ni Afisa Mfawidhi Kanda ya Mashariki Sumatra Coneao Shio kushoto
ni Mkuu wa Kituo cha Usalama barabarani Wilaya ya Kinondoni Solomon
Mwangamilo pamoja na Mary Munisi, Mwenyekiti wa Soko la Makumbusho.
Askari wa usalama barabarani wakijipanga kuongoza magari katika stendi ya Makumbusho.
Tuko katika
maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma
zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment