Sakata
la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu
maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania
kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa
ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma
picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond
wanazopiga wakiwa chumbani na kuweka kwenye mitandao.
Katika majibu yake waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia Prof.
Makame Mbarawa anasema “Mhe. Spika kuhusu picha zisizokuwa na maadili
zinazowekwa katika mitandao na watu maarufu na hata wasiokuwa maarufu
serikali imeanza kuandaa kanuni zitakazokuwa zikifuatilia Online Content
ambapo itaanza kuchukua hatua baada ya kufuatilia juu ya picha hizo na
kuchukua hatua madhubuti”.
Baada ya kauli hiyo Spika wa bunge Mhe. Anne Makinda alikazia akitaka
majibu juu ya picha za juzi zilizosambaa zikimuonyesha Mhe. Komba akiwa
na binti mdogo ambazo mwenyewe alisema si zake na wabunge kuonekana
wakitaka majibu ambapo Mhe. Mbarawa anasema.
“Mhe. Spika kuhusu picha za juzi zilizosambaa mitandaoni
tunazifuatilia kujua zimeanzia wapi na taarifa zake zikoje kwani hata
mimi bado sijaziona ila tutachukua hatua tutakapobaini zilipotoka.”
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
Related Posts:
Hii ndio Orodha ya matajiri waliofanikiwa kutokana na Biashara ya mtandao {Network marketing}........fuatilia hapa..........
Rank ya Dunia
Jina
Kampuni
Kipato/mwezi
kipato/mwaka
1
Holton Buggs
OrganoGold
$1,200,000
$14,400,000
2
Angela Liew and Ryan Ho
NuSkin
$1,100,000
$13,200,000
3
Dexter & Birdie Yager
Amway
$1,000,000
$12,000,000
… Read More
Busara za Nyerere na Karume hakuna wa kuziendeleza...................??????
Mwl Nyerere na Sheikh Karume wakinywa Fanta bariiidi tena kwa mrija.....Hii ni kutokana na uzalendo waliokuwa nao waasisi hawa wa muunagano bila kujikweza wala kujilimbikizia mali tabia inayofanywa na viongozi wa sasa we… Read More
Je unamfahamu askari Polisi aliyekamatwa ameiba mtoto ......fuatilia hapa..........!!!!
POLISI WA KIKE AIBA MTOTO MCHANGA
Jeshi
la polisi Mbeya limemkamata Askari polisi mwanamke wa Dar es salaam
kwa tuhuma za kumuiba mtoto mchanga wa siku ambae aliibwa toka April 6 … Read More
Soma hapa barua ya Jeshi la Polisi inayowazuia Upinzani (Ukawa) kutokufanya maandamano.........fuatilia hapa............
Baada ya kugoma kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge la katiba
Dodoma, Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoongozwa na Profesa
Ibrahim Lipumba na Freeman Mbowe ulitangaza kufanya mkutano Zanzibar
Jumamosi ya … Read More
Unamjua Mtanzania wa kwanza kuthibitishiwa kuwa na account official ya facebook??????? .......fuatilia hapa........
Flaviana Matata amekua mwakilishi mzuri wa Tanzania kwenye nchi
mbalimbali alizofanya kazi kama Ufaransa, Hispania na Marekani ambako
anaishi sasa hivi New York.
Flaviana amethibitishwa rasmi na facebook kwamba hiyo ac… Read More
0 comments:
Post a Comment