Nguli wa Real Madrid afariki dunia.
Mchezaji nguli wa Real Madrid Alfredo Di Stefano, anayetajwa kuwa mmoja wa wachezaji wazuri duniani amefariki dunia. Mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid aliyekuwa na umri wa miaka 88 alipatwa na mshtuko wa moy…Read More
Scolari "Tutashinda bila Neymar"
Kocha wa Brazil Luiz Filipe Scolari amesema vijana wake wataweza
kucheza bila ya mshambuliaji wake aliyeumia, Neymar, watakapocheza na
Ujerumani siku ya Jumanne katika nusu fainali ya Kombe la Dunia. Neymar
amepa…Read More
5 BORA YA JEZI ZENYE MDHAMINI GHALI DUNIANI.
1. Manchester United(CHEVLORET)-$80 Million 2. Barcelona(Qatar Airways)-$45 Million 3. Bayern Munich(Deutsche Telekom)-$40 Million 4. Real Madrid((Fly Emirates)-$39 Million 5. Liverpool(Standard Chartered)-$31 Million
…Read More
Webb huenda akachezesha fainali Brazil
Refa muingereza
anayefahamika kwa ukakamavu wake Howard Webb ni miongoni mwa waamuzi 15
walioteuliwa kusalia Brazil kushiriki mechi zilizosalia za kombe la
dunia.
Webb mwenye umri wa miaka 42 ni miongoni mwa
w…Read More
Afisa wa Match Hospitality akamatwa
Maafisa wa polisi nchini Brazil
wamemkamata afisa mkuu mtendaji wa kampuni mshirika wa FIFA kwa tuhuma
za uuzaji tiketi za kombe la dun…Read More
0 comments:
Post a Comment