
Nyota wa filamu wa Marekani Harrison Ford ameumia wakati akiigiza filamu mpya ya Star Wars: Episode VII.
Ford amepelekwa hospitali baada ya kuangukiwa na mlango katika studio za Buckinghamshire, Uingereza.
Haifahamiki kama ataendelea kuigiza filamu hiyo.
Lupita Nyong'o pia yumo katika filamu hiyo mpya.
Hivi sasa
tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com
ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.
0 comments:
Post a Comment