Hatimae mbunge wa Arumeru mashariki mh. Joshua Nassari na Bi. Anande
Nnko wafunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja katika kanisa la
Kilinga na baada ya hapo kuelekea katika viwanja vya Usa- River Academy
ambako ndiko sherehe ilipofanyika.
Siku ya Jumamosi tarehe 7 Juni 2014 itakumbukwa na wawili hawa kama siku
yao ya kumbu kumbu ya ndoa yao, pamoja na wageni wengi waliojitokeza,
viongozi wa kiserikali pamoja na wale wa kisiasa, taasisi na dini
walikuwepo kwa wingi. Tunawatakia ndoa njema na Mungu awalinde.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment