Ni msiba wa 4 mfululizo ndani ya mwezi mmoja kutoka tasnia ya filamu Tanzania,Jioni ya June 09 Said Ngamba au Mzee Small alizikwa na mazishi yake kuhudhuriwa na watu mbalimbali wa serikali,vyama,wasanii na wananchi wa kawaida.
miongoni mwa watu ambao walihudhuria ni pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete,ilianza kusomwa dua nyumbani kisha baada ya dua kukamilika ilianza safari ya kuelekea kwenye makaburi ya Segerea sehemu ambayo aliomba mwenyewe Mzee Small kuwa kama akifa azikwe hapo.
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya Mzee Small.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment