Facebook

Saturday, 14 June 2014

Polisi Polisi wa Ufaransa matatani kwa ubaguzi wa Rangi.!

Salim Kikeke's photo.

Mzozo wa ubaguzi wa rangi unatokota nchini Ufaransa baada ya picha kupatikana za maafisa wa polisi wazungu wakiwa wamejipaka rangi nyeusi huku wakiiga mienendo ya nyani katika sherehe moja.
Mkuu wa polisi wa Ufaransa ameanzisha uchunguzi juu ya suala hilo, baada ya picha hizo kupatikana katika ukurasa wa Facebook wa afisa mmoja wa polisi, imeripoti tovuti ya Channel 4.
Maafisa hao wa polisi wanadhaniwa ni kutoka kikosi cha Kremlin-Bicêtre, kusini mwa Paris.

Salim Kikeke's photo. 
 
Hii si mara ya kwanza kwa polisi wa Ufaransa kutuhumiwa kwa ubaguzi wa rangi katika mitandao ya kijamii. Mwaka 2013 afisa mmoja wa kike wa polisi alitoa maoni ya kibaguzi hadharani.

Hivi sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.

Related Posts:

  • MTOTO AMUOA MAMA YAKE WA KAMBO Bwana mmoja nchini Ufaransa amemuoa mke wa zamani wa baba yake (mama yake wa kambo) baada ya kushinda kesi iliyodumu kwa miezi kadhaa. Harusi ya Eric Holder, 45, na aliyekuwa mama yake wa kambo Elisabeth Lorentz, 48, i… Read More
  • Mbwa anayepiga kazi kama binadamu.Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon hupenda kwenda kuchota maji na anaweza kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau. Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua Lemon baada ya kustaafu… Read More
  • Mtoto wa kizazi cha "kupandikizwa" azaliwa Sweden Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa bila kizazi kabla ya kuwekewa kizazi cha mwanamke aliyekuwa katika mi… Read More
  • Kutana na mwanaume aliyetembelea mbinguni mara nne na kuchora ramaniAnaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 64, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,lakini inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilik… Read More
  • Joel Harlow "Ukistajaabu ya Musa Utayaona ya Firauni" Duniani kuna binadamu wengi sana,lakini kila bila binadamu hupewa kipawa chake,wengi wetu tunaamini Mungu humpatia kila binadamu kipawa chake,Kuna baadhi ya binadamu wanaweza kuwa na vipawa lakini wasiweze kuvitambua vipawa… Read More

0 comments:

Post a Comment