Facebook

Wednesday, 4 June 2014

Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya.

Photo: TETESI ZA SOKA KATIKA MAGAZETI NA TOVUTI ZA ULAYA
Chelsea watajaribu kumsajili kiungo wa Barcelona Cesc Fabegas kuziba nafasi ya Frank Lampard (Daily Telegraph), nyota wa zamani wa Liverpool Robbie Fowler amemsihi Brendan Rodgers kumsajili Fabregas (Daily Express), Tottenham wanamuulizia beki wa Feyenoord Daryl Janmaat, ambaye anasakwa na Manchester United na Napoli (Daily Mail), kipa wa Chelsea anayechezea Atlètico Madrid kwa mkopo, Thibaut Courtois amethibitisha kuwa amezungumza na Jose Mourinho kuhusu hatma yake Stamford Bridge (Daily Star), Stoke wanatarajia kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Man U, Mame Biram Diouf kutoka Hannover (Daily Mail), Manchester United, Arsenal na  Tottenham watazidiwa kete  na Real Madrid kumsajili Arturo Vidal kutoka Juventus (Daily Express), Bayern Munich wameonesha dalili za kumtaka beki wa Man City Aleksander Kolarov, lakini wanakabiliwa na upinzani kutoka Roma na Juventus (Daily Mail), Wolfsburg inayocheza Bundesliga nayo inataka kumsajili striker wa Chelsea Romelu Lukaku (Daily Express), meneja wa Hull City Steve Bruce atakamilisha uhamisho wa pauni milioni 9.75 wa Ryan Bertrand kutoka Chelsea na kiungo wa Marseille Morgan Amalfitano wiki hii (Daily Star),  Arsenal, Newcastle na West Ham wameambiwa watalazimika kutoa pauni milioni 19 kama watataka kumsajili mshambuliaji wa Swansea Wilfried Bony (Daily Mirror), Chelsea huenda wakalazimika kutoka pauni milioni 37 kumsajili beki wa kushoto wa Atlètico Madrid Luis Filipe kutokana na utata kwenye mfumo wa kodi nchini Hispania (AS), Liverpool na Manchester United zinamfuatilia mshambuliaji wa Barcelona Alexis Sanchez (Daily Star). SHARE tetesi hizi na wapenzi wa soka. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Adios!
 
Chelsea watajaribu kumsajili kiungo wa Barcelona Cesc Fabegas kuziba nafasi ya Frank Lampard (Daily Telegraph), 
 
Nyota wa zamani wa Liverpool Robbie Fowler amemsihi Brendan Rodgers kumsajili Fabregas (Daily Express),
 
 Tottenham wanamuulizia beki wa Feyenoord Daryl Janmaat, ambaye anasakwa na Manchester United na Napoli (Daily Mail),
 
 kipa wa Chelsea anayechezea Atlètico Madrid kwa mkopo, Thibaut Courtois amethibitisha kuwa amezungumza na Jose Mourinho kuhusu hatma yake Stamford Bridge (Daily Star), 
 
Stoke wanatarajia kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Man U, Mame Biram Diouf kutoka Hannover (Daily Mail), 
 
 Manchester United, Arsenal na Tottenham watazidiwa kete na Real Madrid kumsajili Arturo Vidal kutoka Juventus (Daily Express), 
 
Bayern Munich wameonesha dalili za kumtaka beki wa Man City Aleksander Kolarov, lakini wanakabiliwa na upinzani kutoka Roma na Juventus (Daily Mail), 
 
Wolfsburg inayocheza Bundesliga nayo inataka kumsajili striker wa Chelsea Romelu Lukaku (Daily Express), 
 
Meneja wa Hull City Steve Bruce atakamilisha uhamisho wa pauni milioni 9.75 wa Ryan Bertrand kutoka Chelsea na kiungo wa Marseille Morgan Amalfitano wiki hii (Daily Star),
 
 Arsenal, Newcastle na West Ham wameambiwa watalazimika kutoa pauni milioni 19 kama watataka kumsajili mshambuliaji wa Swansea Wilfried Bony (Daily Mirror), 
 
Chelsea huenda wakalazimika kutoka pauni milioni 37 kumsajili beki wa kushoto wa Atlètico Madrid Luis Filipe kutokana na utata kwenye mfumo wa kodi nchini Hispania (AS), 
 
Liverpool na Manchester United zinamfuatilia mshambuliaji wa Barcelona Alexis Sanchez (Daily Star). 
 
SHARE tetesi hizi na wapenzi wa soka. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. 
 
 
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.

Related Posts:

  • Ferdinand asajiliwa rasmi QPR Beki wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand, 35, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea QPR. … Read More
  • Tetesi za Usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya.   Chelsea wapo tayari kumuuza John Obi Mikel, 27, wakati wanapanga kumnyatia kiungo wa Real Madird Sami Khedira, 27 ambaye pia anatakiwa na Arsenal (Daily Express),    Arsenal wanatarajia kuthibitisha siku … Read More
  • Filipe Luis rasmi Chelsea   Chelsea na Atletico Madrid wamekubaliana dili la £35m kwa ajili ya huduma ya beki wa kushoto, mbrazil Filipe Luis ambaye atachukua nafasi ya mkongwe Ashley Cole aliyetimkia klabu ya Roma ya Italia. Filipe mwen… Read More
  • Toni Kroos atua rasmi Madrid.   Kiungo wa Bayern Munich Toni Kroos amejiunga rasmi na Real Madrid kwa mkataba wa miaka sita kwa kitita ambacho hakikutajwa. Kroos, 24, alikuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Ujerumani kilichoishinda Argentina… Read More
  • Demba Ba atua rasmi Uturuki kwa £8m Demba Ba sasa kuvaa jesi ya Besiktas ya Uturuki Usajili mpya na mikataba mipya kwa wachezaji vinara ndio shughuli kuu inayoendelea sasa kabla msimu mpya wa michuano kuanza.. Pamoja na kasheshe zinazomuandama, Suarez s… Read More

0 comments:

Post a Comment