Kiungo
wa Sunderland Adam Johnson huenda akajiunga na AS Monaco ya Ufaransa
9Sun),
Sergio Aguero amesisitiza kuwa hana mpango wa kuondoka Manchester
City (Daily Star),
Rafael Benitez amesema hatomsajili moja kwa moja kipa
wa Liverpool Pepe Reina (Sun),
Mshambuliaji wa Argentina na Napoli
Gonzalo Higuain anasakwa na Arsenal, Chelsea na Manchester United (Daily
Express),
Everton wametoa dau la pauni milioni 10 na kuwazidi kete
Arsenal na Manchester United kumchukua mshambuliaji wa Torino Alessio
Cerci (Daily Express),
Atletico Madrid wanamkata Alvaro Negredo kuziba
nafasi ya Diego Costa anayekwenda Chelsea (Daily Star)
Arsenal wapo
tayari kutoa pauni milioni 25 kumsajili Mario Balotelli wa AC Milan
(Daily Star),
Liverpool wataanza kumfuatilia beki wa kushoto wa Wolfburg
Ricardo Rodriguez iwapo watamkosa Alberto Moreno kutoka Sevilla (Daily
Mail),
Inter Milan iko tayari kumchukua Stevan Jovetic wa Manchester
City (Daily Mail),
Tetesi nyingine
kesho tukijaaliwa.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment