Facebook

Thursday, 5 June 2014

Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya

Photo: TETESI ZA SOKA ULAYA
Manchester City wanakaribia kumsajili Fernando kutoka Porto kwa pauni milioni 15 (Daily Mirror), kiungo wa Arsenal Santi Cazorla amemtaka Mspanish mwenzake Cesc Fabregas kurejea Emirates (Metro), Edin Hazard amepewa jezi namba 10 msimu ujao. PSG wanamtaka kwa pauni milioni 61, lakini mwenyewe amesema hatoondoka baada ya kupewa namba 10 (Daily Mail), Diego Costa yuko karibu sana kusaini Chelsea kwa pauni milioni 32, kilichosalia tu ni vipimo vya afya (Telegraph), Louis van Gaal anaamini Uholanzi haina budi kumshukuru David Moyes kwa kumfanya Robin van Persie kuwa hatari zaidi katika Kombe la Dunia (Daily Mirror), Cesc Fabregas amekubali kusaini mkataba na Chelsea. Kilichosalia ni makubaliano ya ada ya uhamisho, Barcelona wakiwa wanataka Euro milioni 36 (Mundo Deportivo), Koke, Fabregas na Paul Pogba wa Juventus, wote wapo kwenye 'rada' za Chelsea ili kuchukua nafasi ya Frank Lampard (Evening Standard). Share tetesi hizi na wapenzi wote wa soka. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Adios!
 
Manchester City wanakaribia kumsajili Fernando kutoka Porto kwa pauni milioni 15 (Daily Mirror), 
 
kiungo wa Arsenal Santi Cazorla amemtaka Mspanish mwenzake Cesc Fabregas kurejea Emirates (Metro),
 
 Edin Hazard amepewa jezi namba 10 msimu ujao. PSG wanamtaka kwa pauni milioni 61, lakini mwenyewe amesema hatoondoka baada ya kupewa namba 10 (Daily Mail),
 
 Diego Costa yuko karibu sana kusaini Chelsea kwa pauni milioni 32, kilichosalia tu ni vipimo vya afya (Telegraph),
 
 Louis van Gaal anaamini Uholanzi haina budi kumshukuru David Moyes kwa kumfanya Robin van Persie kuwa hatari zaidi katika Kombe la Dunia (Daily Mirror),
 
 Cesc Fabregas amekubali kusaini mkataba na Chelsea. Kilichosalia ni makubaliano ya ada ya uhamisho, Barcelona wakiwa wanataka Euro milioni 36 (Mundo Deportivo), 
 
Koke, Fabregas na Paul Pogba wa Juventus, wote wapo kwenye 'rada' za Chelsea ili kuchukua nafasi ya Frank Lampard (Evening Standard).
 
 Share tetesi hizi na wapenzi wote wa soka. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. 
 
 
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.

Related Posts:

  • Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Beki was Aston Villa Ron Vlaar, 29, atakuwa na mazungumzo na meneja wake Paul Lambert kuhusiana na hatma yake licha ya Southampton kumwania (Daily Mirror),  QPR wanafikiria kumchukua kiungo wa Colombia Carlos… Read More
  • Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Kiungo wa Manchester United Marouane Fellaini huenda akaondoka kwenda Napoli baada ya kufanya mazungumzo na mkuu wa klabu hiyo Riccardo Bigon (Daily Express),   United pia huenda wakamruhusu Shinji Kagawa, 25 … Read More
  • Yaya Toure "Nataka kubaki Etihad" Yaya Toure anataka kusalia Etihad kwa miaka zaidi. Kiungo cha kati wa Ivory Coast na Manchester City ya Uingereza Yaya Toure amesema kuwa angependa kusalia Etihad milele. Awali ripoti zilikuwa zimeashiria kutoridhis… Read More
  • Liverpool yamsajili Divorc Origi Divorc Origi katika mojawapo ya mechi za Ubelgiji Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Divorc Origi hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool. Baba yake Origi, Mike Okoth, ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu taif… Read More
  • Origi rasmi Liverpool. Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Ubelgiji Divock Origi kutoka Lille kwa pauni milioni 10. Origi, 19, amesaini mkataba wa miaka mitano, lakini atasalia Ufaransa na klabu yake ya Lille kwa mkopo kwa msimu… Read More

0 comments:

Post a Comment