Baada ya kumaliza ndoa yao na harusi iliyofanyika wiki moja iliyopita,
Kim na Kanye wanaonekana kuwa katika ugomvi baada ya kuonekana Kim akiwa
peke yake alipotua uwanja wa ndege kuelekewa kwao LA.
Kim aliwasili New York siku ya jana (jumapili) bila ya mme wake Kanye alipokuwa akielea nyumbani kwao LA.
Inaonekana safari yao ya Honeymoon haikwenda vizuri kwa Kim na Kanye
baada ya watoa habari kudai kuwa hawakuonekana wakifurahi na tabasamu
zao zilikuwa kwa mbaaaali na wala hawakuwa wakioneshana upendo kati yao
kwa muda wote waliokuwa honeymoon.
Habari zinadai kuwa Kim hakufurahishwa na idea ya Kanye kumpeleka
Ireland ambapo kulikuwa na mvua nyingi kama sehem ya honeymoon yao.
Kim alioneka kuwa bored katika siku zote tano walizokuwa huko hata
kumuomba Kanye waondoke mapema kabla ya siku hizo kuisha na hata
kuachana na plan yao ya mwanzo ambapo walitegemea kupita Dublin kwa siku
moja.
Inaonekana kuna tatizo kwani Kim hakuoneka akiwa amevaa weeding band yake kidoleni
"Nimeshawahi kupaona Ireland" aliskika akilalamika Kim "twende turudi".
Imeripotiwa kuwa Kim alipapenda Ireland mwaka 2012 wakati Kanye
alipokwenda kwenye tour, na alienda kum-surprise Kanye kwenye birthday
yake alifikisha miaka 35.
Ndipo ambapo Kanye alipata idea yakumpeleka huko kwa kuwa alikuwa
akiamini alipapenda na hata kupata sapoti kutoka kwa mama yake Kim ambae
pia alienda huko wakati wa honeymoon yake ya Bruce Jenner mwaka 1991
Kim akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa New York akiwa mwenyewe
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za
kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment