
Kuna taarifa nzito kuwa Thomas Vermaelen wa Arsenal anakaribia kusaini Manchester United.
Inasemekana atahama kutoka Arsenal kwende Manchester United kwa ada ya uhamisho ambayo haijafahamika huku akitarajia kupokea kiasi cha mshahara Paundi 100,000 kwa wiki
Magazeti ya Daily Telegraph, The Times, Daily Mail,Daily Mirror na mtandao wa SKY Spoprts umetaja taarifa hii..
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment