Facebook

Sunday, 15 June 2014

UHAMISHO-LIGI KUU ENGLAND: LISTI YA KILA KLABU WACHEZAJI WAPYA NA WALIOONDOKA!

 Photo: TETESI ZA SOKA ULAYA

Mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku amekataa kwenda West Ham kwa mwaka wa pili sasa, lakini huenda akajiunga na Wolfsburg ya Ujerumani (Daily Mirror), Manchester United sasa wamemgeukia kiungo wa Bayern Munich, Bastian Schweinsteiger baada ya kushindwa kumpata Thomas Muller (Daily Star), Arsenal wapo tayari kutoa pauni milioni 5 kwa kipa Pepe Reina (Metro), Arsenal pia wanataka kumsajili beki Bressan kutoka Gremio ya Brazil (Daily Express), Arsene Wenger pia anakaribia kukamilisha usajili wa Carlos Vela kutoka Real Sociedad (Sun), Liverpool wana imani wataweza kumsajili Max Meyer kutoka Schalke na kuwapiku Arsenal na Chelsea (Daily Express), kiungo wa Barcelona, Alex Song ameambiwa yuko huru kuondoka Nou Camp, huku Manchester United wakimfuatilia mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal (Talksport), rais wa Real Madrid Florentino Perez ameruhusu klabu yake kumfuatilia Ramires wa Chelsea (Marca), Paris St-Germain itamfuatilia kipa Petr Cech iwapo Chelsea hawatamhitaji (Le Figaro), Atlètico Madrid wanafikiria kutoa pauni milioni 18 kumsajili kiungo wa Arsenal Santi Cazorla (As.com). Share tetesi hizi na wapenda soka wote. Tetesi nyingine kesho. Adios!

DIRISHA la UHAMISHO la Wachezaji huko England lipo wazi na Klabu za Ligi Kuu England zipo kwenye harakati za kuuza na kusaini Wachezaji wapya kwa ajili ya Msimu mpya wa Ligi wa 2014/15 utakaoanza Agosti 16.
Siku ya mwisho ya kufungwa Dirisha la Uhamisho ni Tarehe 1 Septemba 2014 Saa 7 Usiku, Saa za Bongo.

PATA LISTI YA KILA KLABU NANI MPYA AMEINGIA NA NANI AMEHAMA KLABU:
**FAHAMU:
-Wachezaji ambao Mikataba yao imemalizika au hawana Klabu wanaweza kusaini nje ya Dirisha la Uhamisho.
-NDANI: Wachezaji Wapya
-NJE: Wachezaji walioondoka Klabu
-BURE: Mchezaji Huru
-AMEACHWA: Klabu imemruhusu kuondoka lakini Klabu hiyo hiyo inaweza ikamchukua tena.

1.Arsenal
NDANI
-Hamna
NJE
Lukasz Fabianski (Swansea City) BURE
Chuks Aneke AMEACHWA
Nicklas Bendtner AMEACHWA
Chu Young Park AMEACHWA
 
2.Aston Villa
NDANI
Tom Leggett (Southampton) ADA HAIKUTAJWA
Isaac Nehemie (Southampton) ADA HAIKUTAJWA
Philippe Senderos (Valencia) BURE
Joe Cole (West Ham) BURE
NJE
Marc Albrighton (Leicester City) BURE
Nathan Delfouneso AMEACHWA
 
3.Burnley
NDANI
-Hamna
NJE
David Edgar AMEACHWA
Brian Stock AMEACHWA
Keith Treacy AMEACHWA
Nick Liversedge AMEACHWA

4.Chelsea
NDANI
-Cesc Fabregas
NJE
David Luiz (Paund 40million)
Tomas Kalas (Cologne) Loan
Ashley Cole AMEACHWA
Samuel Eto'o AMEACHWA
Henrique Hilario AMEACHWA
Sam Hutchinson AMEACHWA
Frank Lampard AMEACHWA
Mark Schwarzer AMEACHWA

5.Crystal Palace
NDANI
-Hamna
NJE
Neil Alexander AMEACHWA
Marouane Chamakh AMEACHWA
Kagisho Dikgacoi AMEACHWA
Daniel Gabbidon AMEACHWA
Dean Moxey AMEACHWA
Jonathan Parr AMEACHWA
Julian Speroni AMEACHWA
Aaron Wilbraham AMEACHWA

6.Everton
NDANI
-Hamna
NJE
Mason Springthorpe AMEACHWA
Apostolos Vellios AMEACHWA

7.Hull City
NDANI
-Hamna
NJE
Joe Dudgeon AMEACHWA
Abdoulaye Faye AMEACHWA
Matty Fryatt AMEACHWA
Conor Henderson AMEACHWA
Eldin Jakupovic AMEACHWA
Robert Koren AMEACHWA

8.Leicester City
NDANI
Jack Barmby (Manchester United) BURE
Matthew Upson (Brighton and Hove Albion)
Ben Hamer (Charlton Athletic) BURE
Marc Albrighton (Aston Villa) BURE
NJE
George Taft (Burton Albion) BURE

9.Liverpool
NDANI
Rickie Lambert (Southampton) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Michael Ngoo AMEACHWA
Stephen Sama AMEACHWA

10.Manchester City
NDANI
-Hamna
NJE
Gareth Barry AMEACHWA
Joleon Lescott AMEACHWA
Costel Pantilimon AMEACHWA
Alex Nimely AMEACHWA

11.Manchester United
NDANI
-Hamna
NJE
Federico Macheda (Cardiff City) BURE
Jack Barmby (Leicester City) BURE
Rio Ferdinand AMEACHWA
Ryan Giggs AMEACHWA
Nemanja Vidic (Inter Milan) BURE

12.Newcastle United
NDANI
Ayoze Perez (Tenerife) ADA HAIKUTAJWA
Jack Colback (Sunderland) BURE
NJE
Conor Newton (Rotherham United) BURE
Dan Gosling (Bournemouth) BURE
Shola Ameobi AMEACHWA
Michael Richardson AMEACHWA

13.Queens Park Rangers
NDANI
-Hamna
NJE
-Hamna

14.Southampton
NDANI
-Hamna
NJE
Andy Robinson (Bolton Wanderers) BURE
Tom Leggett (Aston Villa) ADA HAIKUTAJWA
Isaac Nehemie (Aston Villa) ADA HAIKUTAJWA
Danny Fox (Nottingham Forest) BURE
Lee Barnard AMEACHWA
Guly do Prado AMEACHWA
Jonathan Forte AMEACHWA
Rickie Lambert (Liverpool) ADA HAIKUTAJWA

15.Stoke City
NDANI
Phil Bardsley (Sunderland) BURE
Steve Sidwell (Fulham) BURE
Mame Biram Diouf (Hannover) BURE
Dionatan Teixeira (Banska Bystrica) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Juan Agudelo AMEACHWA
Matthew Etherington AMEACHWA

16.Sunderland
NDANI
Jordi Gomez (Wigan Athletic) BURE
Billy Jones (West Bromwich Albion) BURE
NJE
Billy Knott (Bradford City) BURE
Phil Bardsley (Stoke City) BURE
Craig Gardner (West Bromwich Albion) BURE
Carlos Cuellar AMEACHWA
Andrea Dossena AMEACHWA
John Egan AMEACHWA
Oscar Ustari AMEACHWA
David Vaughan AMEACHWA
Kieren Westwood AMEACHWA
Jack Colback (Newcastle United) BURE

17.Swansea City
NDANI
Lukasz Fabianski (Arsenal) BURE
NJE
Leroy Lita AMEACHWA
Jernade Meade AMEACHWA
David Ngog AMEACHWA
Darnel Situ AMEACHWA


18.Tottenham Hotspur
NDANI
-Hamna
NJE
Heurelho Gomes (Watford) BURE
Cameron Lancaster AMEACHWA

19.West Bromwich Albion
NDANI
Craig Gardner (Sunderland) BURE
NJE
Billy Jones (Sunderland) BURE
Scott Allan AMEACHWA
Nicolas Anelka AMEACHWA
Cameron Gayle AMEACHWA
Zoltan Gera AMEACHWA
Diego Lugano AMEACHWA
Steven Reid AMEACHWA
Liam Ridgewell AMEACHWA

20.West Ham United
NDANI
Mauro Zarate (Velez Sarsfield) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Joe Cole (Aston Villa) BURE
Jack Collison AMEACHWA
Callum Driver AMEACHWA
George McCartney AMEACHWA
Jordan Spence AMEACHWA
 
 
Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment