Facebook

Sunday, 15 June 2014

Ivory Coast yaiduwaza Japan.

BRAZIL_2014_ORIJINO11





















Magoli 2 ya Kipindi cha Pili yamewapa Ivory Coast ushindi wa Bao 2-1 walipocheza na Japan kwenye Mechi ya Kundi C la Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa Arena Pernambuco Mjini Recife Nchini Brazil.
Japan walipata Bao lao Dakika ya 16 Mfungaji akiwa Keisuke Honda baada ya Kona na Ivory Coast kufunga Bao 2 ndani ya Dakika 2 katika Kipindi cha Pili na zote zimetokana na Krosi za Aurie kuunganishwa kwa Vichwa na Wilfried Bony na Gervinho.

MAGOLI:
Ivory Coast 2
-Wilfried Bony Dakika ya 65
-Gervinho 67
Japan 1
-Keisuke Honda Dakika ya 16

Mechi inayofuata kwa Ivory Coast ni hapo Alhamisi na Colombia waliyoichapa Greece Bao 3-1 mapema Jana.
Japan watacheza na Greece Siku hiyo hiyo.

VIKOSI:
IVORY COAST: Barry, Boka, Zokora, Kalou, Tiote, Gervinho, Bony, Aurier, Y.Toure, Serey, Bamba
Akiba: Diarrassouba, K Touré, Bolly, Akpa-Akpro, Drogba, Ya Konan, Diomand, Gradel, Gbohouo, Djakpa, Sio, Mandé

JAPAN: Kawashima, Uchida, Honda, Nagatomo, Morishige, Okazaki, Kagawa, Yamaguchi, Hasebe, Osako, Yoshida
Akiba: Sakai, Endo, Kiyotake, Kakitani, Nishikawa, Okubo, Aoyama, Konno, Inoha, Saito, Sakai, Gonda
REFA: Enrique Osses [Chile]
KOMBE LA DUNIA
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo

JUMAMOSI, JUNI 14, 2014

SAA MECHI KUNDI UWANJA REFA

1900 Colombia 3 Greece 0 C Estadio Mineirão Mark Geiger [USA]

2200 Uruguay 1 Costa Rica 1 D Estadio Castelão Felix Brych [Germany]

0100 England 1 Italy 2 D Arena Amazonia Bjorn Kuipers [Holland]

0400 Ivory Coast 2 Japan 1 C Arena Pernambuco Enrique Osses [Chile]
JUMAPILI, JUNI 15, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Switzerland v Ecuador E Nacional
2200 France v Honduras E Estadio Beira-Rio
0100 Argentina v Bosnia F Estadio do Maracanã
JUMATATU, JUNI 16, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Germany v Portugal G Arena Fonte Nova
2200 Iran v Nigeria F Arena da Baixada
0100 Ghana v United States G Estadio das Dunas









**KWA RATIBA KAMILI BOFYA: 

<<<<Ratiba kamili Ya Kombe la Dunia>>>



Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment