Mario Balotelli amewasili katika viwanja vya
mazoezi vya Liverpool vinavyojulikana kama
Melwood kwa ajili ya vipimo vya afya baada
ya kufikia makubaliano binafsi na Liverpool.
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester City
yupo mbioni kusainishwa na Brendan
Rodgers mkataba wenye thamani ya
£125,000 kwa wiki.
Balotelli mapema ya leo alifanyiwa vipimo
vya scanning katika hospitali ya Spire
Liverpool na sasa anakamilisha vipimo
vilivyosalia hospitalini Melwood.
Friday, 22 August 2014
Balloteli atua Liverpool
Related Posts:
JOHN TERRY KUONGEZWA MKATABA CHELSEA FC Habari kutoka ktk www1.skysports.com zinadai kuwa beki mahiri wa kati wa clabu ya CHELSEA JOHN TERRY anamatumaini makubwa ya kuendelea kubaki darajani hapo msimu ujao. TERRY akihojiwa na kituo cha skysports alidai kuwa,"… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 21 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 19BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 18 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 20 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
0 comments:
Post a Comment