Taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari
mbalimbali nchini Uingereza zinasema kocha
Louis Van Gaal amemuambia Danny Welbeck
anaweza kutafuta timu nyingine kama anataka
nafasi ya kucheza mara kwa mara
Friday, 22 August 2014
Danny Welbeck afunguliwa Milango ya kuondoka Manchester United.
By Unknown at Friday, August 22, 2014
No comments
Related Posts:
UN yalaaani shambulizi Somalia Mji wa Baidoa ulikombolewa na serikali kutoka kwa Al Shabaab miaka 2 iliyopita Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi baya sana la kujitoa… Read More
Je unazijua Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hut… Read More
Kanda ya Jay-Z akichapwa yazua hasira Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia kanda ya video iliyozuka ikionyesha dadake mwanamuziki wa kimataifa Beyonce Knowles , Solange Knowles akimchapa makonde mwanamuzi… Read More
Nigeria tayari kulegeza msimamo......fuatilia hapa.... Serikali ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote zitakazowezesha kuachiliwa huru salama kwa zaidi ya wasichana mia mbili wa shule waliotekwa nyara na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram. Awali wa… Read More
Gavana wa Nairobi atimuliwa ofisini Gavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi, Evans Kidero ametimuliwa mamlakani na mahakama ya rufaa. Mahakama hiyo, imeamua kuwa Kidero na naibu wake Jonathan Mueke hawakuchaguliwa kihalali. Uamuzi huo ulitolewa kufuati… Read More
0 comments:
Post a Comment