Facebook

Sunday, 15 June 2014

Jennifer Lopez katika jarida la Billboard kama "msichana"

Jenniffer Lo nne 
 Jennifer Lopez ambaye ana umri wa miaka 44 na mama wa watoto mapacha bado anaonekana kama ni msichana wa miaka 25 hivi kwa jinsi alivyojiweka.

J Lo ambaye miaka ya 2000 alikuwa gumzo kwa urembo wake uliowanasa mastaa kibao, amekava jarida la Billboard la hivi karibuni, jarida ambalo linaheshima kubwa.
Hizi ni baadhi ya picha zilizotoka awali.
Jenniffer Lo tatuJennifer tanojenniffer lopez mbili 

Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment